Posts

Showing posts from January, 2018

HISTORIA YA USAFIRI WA ANGA NA WALIO GUNDUA NDEGE.

Image
Orville pamaja na ndugu yake Willbur Mwaka 1700 binadamu alifikilia kuwa anaweza kutengeneza mashine ambayo itaweza kuruka na akaiendesha hii ni kutokana na wivu alipo ona ndege (Birds) wakiruka. Mwaka 1784 binadam alitengeneza Pulizo kubwa (Ballon Hot chair) ambalo ndio ilikuwa chombo cha kwanza cha anga ambacho kinaongozwa na binadamu katika historia ya mambo ya anga Na kwa mara ya kwanza Pulizo hilo liliruka America. Licha ya kufanikiwa kutengeneza Pulizo hilo hawakulizika kutokana ilikuwa ni ngumu kuliongoza lilielekea upepo unapo elekea.       Tarehe 17/12/1903 North Carolina Malekani Wilbur Wright pamoja na ndugu yake Orvile  Wright waliingia katika historia ya mambo ya anga baada ya kutengeneza ndege ya kwanza iliofanikiwa iliokuwa inatumia injini na iliweza kuruka umabali wa mita 36 ndani ya sekunde 12.   Orville Wright akiwa amefanikiwa kutua kwa mara ya kwanza ndege yao kaka yake Wilbur akimwangalia Wilbur (kulia) na Orv...

USICHO KIJUA KUHUSU BOMBARDIER Q400 DASH 8 (AIR TANZANIA)

Image
       Ndege aina ya Bombardier Q400 dash 8 (turbo props engine) zinatengenezwa Canada na kwa mara ya kwanza ndege hii ililuka mwaka 1983 na mbaka sasa kampuni ya bombardier imefanikiwa kuuza ndege 1232 Tanzania ikiwa moja ya nchi inayo miliki ndege mbili aina ya Bombardier Q400. Ndege hii ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kupunguza gharama za u endeshaji na ina uwezo wa kuchukua abiria 78 na pia ina uwezo wa kutua kwenye uwanja mfupi na kuluka kwenye uwanja mfupi kutokana na uwezo wake wa injini.  mpangilio wa siti ndani ya bombardier Q400 na ndege hii huwa na Cabin crew(Hosters) wawili kwa ajili ya kuhudumia abiria. Turboprops (panga sita) aina ya injini ambayo hutumiwa na Bombardier. Rwanda ni moja ya nchi ambayo utumia  ndege hizi kwa muda mrefu sasa. Naamini umejifunza kitu kupitia hi makala fupi ya ujue ndege aina ya Bombardier Q400 Dash 8. Usikose mfululizo wa vipindi ambao nitakuwa nautoa kupitia blog hii.. ...

WASANII AFRICA WANAO MILIKI PRIVATE JET.

Image
 Licha ya kuwa na gharama kubwa za uendeshaji hawa ni baadhi ya wasanii Africa ambao wana miliki ndege zao binafs.  Davido ambae ni msanii pia ni baba Anamiliki ndege yake binafsi ambayo huwa anaitumia katika tour zake za muziki sehem mbalimbali duniani.  Davido akionesha Ndege yake binafsi.   WIZIKID Licha ya kuwa na Umri mdogo Wizikid ni msanii tajiri pia anamiliki ndege yake binafsi.  Wizkid & Phyno katita private jet yake.  P-Square  baada ya kutumia hela nyingi kukodi ndege kwa muda mrefu kwa ajili ya tour zao kimuziki waliamua kununua Ndege yao binafsi.  ndani ya Jet inayomilikiwa na P-Square.

TOFAUTI KATI YA BOEING NA AIRBUS

Image
Je unaweza kuniambaia tofauti kati ya Airbus na Boeing? Ma Pilot na watu wanao fatilia maswala ya anga ni rahisi sana kuzitofautisha ndege hizi zikiwepo zimepaki ata zikiwa angani, na Sio rahisi kwa watu wa kawaida.. Ndege aina ya Airbus ni ndege ambazo zime buniwa na zinatengenezwa na Muunganiko wa nchi za Ulaya (European multinational) na kuuzwa duniani kote. Ndege aina ya Boeing ni ndege zime buniwa na zinazotengenezwa America na pia zinauzwa duniani kote. Boeing wamejikita katika kutengeneza ndege za abiria ,za kijeshi rocketi pamoja na satellites. HIZI NDIO TOFAUTI KUBWA KATI YA BOEING NA AIRBUS  ukiangalia Pua ya Boeing imechongoka sana, pia ukiangalia madilisha ya Boeing ni pembe nne.   ukiangalia pua ya Airbus ina kuwa na umbo la yai pia ukiangalia madirisha utagundua kuna utofauti mkubwa sana.   ukiangalia mwisho wa bawa la Boeing utaona winglets kama hii.   ukiangalia kwenye bawa la Airbus utaona Sharklets kama ...

HIZI NDIO NDEGE MPYA ZA KISASA AMBAZO ZINATUMIWA NA FASTJET.

Image
Embraer ni ndege ndogo zenye kutumia jeti injin na zina uwezo wa kubeba abiria 66 - 124. Ndege hizi zinatengenezwa Brazil. Kwa mara ya kwanza ndege aina ya Embraer zilitambulishwa katika maonesho ya ndege Paris mwaka 1999.  Embraer 190 katika uwanja wa kimataifa wa Songwe jijini Mbeya. ndege aina ya Embraer 190 ilipo wasili jijini mbeya kwa mara ya kwanza