WASANII AFRICA WANAO MILIKI PRIVATE JET.

 Licha ya kuwa na gharama kubwa za uendeshaji hawa ni baadhi ya wasanii Africa ambao wana miliki ndege zao binafs.


 Davido ambae ni msanii pia ni baba Anamiliki ndege yake binafsi ambayo huwa anaitumia katika tour zake za muziki sehem mbalimbali duniani.

 Davido akionesha Ndege yake binafsi.



  WIZIKID
Licha ya kuwa na Umri mdogo Wizikid ni msanii tajiri pia anamiliki ndege yake binafsi.

 Wizkid & Phyno katita private jet yake.


 P-Square 
baada ya kutumia hela nyingi kukodi ndege kwa muda mrefu kwa ajili ya tour zao kimuziki waliamua kununua Ndege yao binafsi.
 ndani ya Jet inayomilikiwa na P-Square.








Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HISTORIA YA USAFIRI WA ANGA NA WALIO GUNDUA NDEGE.