HIZI NDIO NDEGE MPYA ZA KISASA AMBAZO ZINATUMIWA NA FASTJET.
Embraer ni ndege ndogo zenye kutumia jeti injin na zina uwezo wa kubeba abiria 66 - 124. Ndege hizi zinatengenezwa Brazil. Kwa mara ya kwanza ndege aina ya Embraer zilitambulishwa katika maonesho ya ndege Paris mwaka 1999.
Embraer 190 katika uwanja wa kimataifa wa Songwe jijini Mbeya.
ndege aina ya Embraer 190 ilipo wasili jijini mbeya kwa mara ya kwanza



Comments
Post a Comment